THE DEVIL IN THE CHURCH 14
(IN SWABY JOHN AMBULHILI LANGUAGE)
Nilipo fika plae ofisini ,wenzangu walinikumbatia .Walishangaa mbona nilikua ningali pale .Walintaraljia niwe niko kule niliko kwenda .Waliniamkua na kuniuliza sababu ilikua nini.Wa kwanza kuniongelesha alikua yule karani yangu .
“Hujambo bwana karani?Mbona ungali uko hapa ?Sisi tulikua tuna kutarajia uwe uko kule kwa mtumkwani kumetokea nini?”Aliniuliza
“AAA!hakuna lolote baya .Mimi nimekwisha safari hadi huko nikarudi huko nikayakamilisha yote yaliyo nihusu ,halafu,nikarudi tena.Mambo yale kwanza hayakuchukua hata muda mrefu ,yalinichukua muda wa dakika thelathini hivi .Yule mtu anakaa kama mfalme kule kwqake .Anatunzwa kama mfalme .anawatumishi wengi kweli ,wake kwa waume na wote wanamtegemea kwa kila kitu katika maisha .ni mkubwa kweli isipokua yale mahitaji yake ndio makubwa mno.Ni mahitaji ambayo kwa wakati huu na katika umri huu nilio nao ,haita kua rahisi jinzi ile anavyo yatarajia yawe rahisi kama alivyo yatarajia .Anani hitaji mimi niiache hii kazi yangu halafu niende nikatangatange nikitafuta kazi nyingine huko karibu na kwao ndipo niweze kuwa mfuasi wake .Sasa huyu jamma ananitarajiaje nirudi katika hali ile ya umaskini na ufukara ,ukiugua hauna hata namna ya kujipatia matibabu ,nina jamii huko nyumbani kwangu ,wote wananitegema .Nitaiacha je kazi yangu niliyo nayo tayari niende nikatangatange huko ulimwenguni eti nina tafuta kazi? Si ni mambo magumu haya ?”NIliwauliza.
“NI mambo magumum sana haya.”Wote waliitika kwa pamoja.
“NA Sasa,ndio maana nawaulizeni nanyi ,je ,nipeni maoni yenu kulihu
su hili jambo ?Hasa wew mzee .”NIlimuuliza yule mzee mtunza usafi
“Kwa kweli huyo mtume ,mahitaji yaker ni magumu mno kwa mtu kama wewe kuweza kutimiza .Hatuidharau dini kweli lakini huyu mtu ana kuona kama kijana mdogo.JE UNAHAKIKA ana fahamu vyema mabo ya maisha? Ni vigumu mno kuiacha kazi yako kwa ghafla eti unaenda kuitafuta nyingine ,na wakati huo unapokua unaitafuta ,je na jamii yako watukua wanaendeleaje na maisha yao?Wataiacha elimu kuanza ili ukataufute kazi au watafanyaje .Je utakakuaje na hakika Kwamba watu haosi waongo .Labda hata huyo mtume ni mmoja wao wale ambayo watijau katika bibilia takatifu kwamba watakuja wakiimba kwamba ni wao yesu .Labda hata ndiye ibilisi huyo munaye mtarajia kuwa mtume na kiongozi wa dhehebu lile kimataifa kule kwako .Kwa sababu hizoo ,mii nakushauri kwamba ,mabo yako uyafanye kule kuliko na uzitoo zaidi kuliko sehemu zile nyingine zote .Ikiwa mahitaji ya jamii yako yatazidi mambo yale mengine kiasi cha kwamba labda wange fariki,nenda kaachana na hayo mambo hadi wao wenyewe waka kutayarishie hali hizo zao za kuabudu.SAsa wee ,bakia hapa mkwako ,uendelee na maisha yako kawaida ukingojea wakati ule utakapo ipata hiyo nafasi ya kazi kule kwao .Isipo kuja ,ujue kwamba yeye ni mwongo ..Na ikija ,tunasonga tena kwenya hatua itakayo fuatia.Sawa Bwana karani?”Mzee mtunza usafi ple ofisni mwetu aliniuliza.
“Naam mzee wangu .Nime kuelewa vilivyo .Hata mimi mwenyewe nilikua nikwisha kuamua namna hiyo .Yaani ,tangu zamani kwenye siku za ujana wangu ,nililitegemea ,gazeti redi na viombo vile vingine vya kusambazia habari .Sasa Hata sasa nitafanya hivyo .Nitakjka plae kwnagu nyumbani ,nani endelee na kazi hii yangu hapa nikingojea siku ile amabyo nafasi ya kazi itapatikana itapatikana kule kwao.La sivyo,sitasonga kutoka hapa nilipo .Ama mwaonaje ?”NILIsema.
“NI hivyo Bwana karani ,”Karani wanguAlinijibu .Niyeye amabye alikua mwepesi wa kuzungumza kuwaliko wale wengine wote,Ikiwa huyo mtume anaweza kuwa na uwezo kiasi kile ,yatakikana yeye mwenyewe akutekelezee mahitaji hayo yote .Wewe endelea tu na maisha yako kawaida ukingojea.”Karani alini shauri .
“Nani mwingine anaweza kuwa na lingine la kuongezea?”Niliwauliza .WAKATI HUU, NI BWANA MUSA ALIYE NIJIBU,Bwana MUsa aliku ni mhasibu mkuu wa kampuni .Yeye aliitun zia kampu pesa zake.
“Naa,Naulizaje,Hawa watu wana fahamu kweli kuwa wanaongea na mkurugenzi wa kampuni Fulani kweli?Yaani ,wana habari kwamba wanaongea no mtu mkubwa ama kiongozi Fulani kweli?Mbona mipango yao yaenda ni kama wana wapangia wale vijana wa barabarani humu jijini?Wangekua wame kushughulikia kama mtu mwenye cheo hiki katika jamii .HUenda ikawa hawana hata fahamu kuhusu aina ya mtu ambaye wanaongea naye .Naogopa mno .WEwe Bwana karani,ni wewe unayehitaje kwenda kulitumikia kanisa kule pamabana nayo ,ukaamue mwenyewe.”Alimaliza kuongea.
“Ahsanteni kwa ushauri wenu ,samahani niacheni niingie ofisini tutakuja kuongea tena baadaye .”NILIufunga mjadala nikaingia ofisini kwangu.
No comments:
Post a Comment